MISRI: MARUFUKU KUINGIA OFISINI BILA KUCHANJWA WALA KUPIMA CORONA

Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo Zaidi ya watu Milioni 14 wamepata Dozi 2 huku takriban Milioni 27 wakipata Dozi 1. Serikali inalenga